“Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa ya maisha yangu. Msimamo huo umenigharimu sana. Umeniletea madhila mengi sana. Msimamo huo, kwa siku zilizobaki za maisha yangu, nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kuufia, nipo tayari kufa.” — Tundu Lissu, 28.09.2026
*MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:*
“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"
Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.
Namalziia kwa neno moja:
waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini
msiogope kuniachia huru.
You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit��� acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza”
Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISSU LEO
“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"
Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.
Namalziia kwa neno moja:
Waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini msiogope kuniachia huru.
You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza” @TunduALissu
Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
#FreeTunduLissu
Watu wazima, viongozi wastaafu, walimu na watu wanaojiita wataalamu… Wako kimya mambo yanaharibika hatua kwa hatua, mbele ya macho yetu tunaona..
Pengine kwa unafiki au kujipendekeza watu wanaogopa kukemea haya.
Inawezekanaje wanafunzi wa chuo na mwalimu wakabambikiziwa kesi ya ugaidi!!!
Adolf Hitler aliua watu milioni 6 mbele ya uso wa Dunia .. wanaojiita watu wema walikua kimya.
Baadae wakaanza kusema hatukujua kama yalikua makubwa na mabaya kiasi hiki..
Tusisubiri hii serikali dhalimu ikazamisha Nchi kwenye kina ambacho haitatoka, baadae tuseme hatukujua.
Hili jambo halikubaliki.
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Tanzanians had hoped Samia Suluhu Hassan would usher in a more open society. Now her repressive regime threatens the country’s achievements and its future https://t.co/NvfAWhAgd6
Kwasasa hakuna chama chochote chenye legal or constitutional authority kuongoza au kuwasemea Watanzania sababu hakuna uchaguzi ulifanyika October 29 zaidi ya “Tume yenyewe kupiga kura” wakati wananchi wakipigwa risasi na CCM.
Ila kuna chama kimoja chenye moral authority kuwaongoza na kuwasemea Watanzania, na chama hiko ni Chadema.
Opposition politicians are behind bars. The media remain muzzled. Outsiders are unlikely to help. A pall of fear hangs over Tanzania. Samia Suluhu Hassan is taking her country down a ruinous road https://t.co/DWNrZp0MPH
Photo: Xinhua News Agency/Eyevine
Bwana Chalamila, Mimi nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano.
Najua utaratibu wa uagizaji wa mafuta kama ninavyojua kiganja cha mkono wangu.
BPS imeundwa nikiwa mbunge nimeshiriki .
Mnatakiwa kujibu maswali rahisi nyie watetezi mafisadi na Cartels.
1. Mafuta yanatumia siku ngapi kuanzia kununua mpaka yanafika Dar?
2. Mgogoro umeanza tarehe 28/2/2026, mafuta hutumia siku 50 mpaka 60 kufika bandari yetu ya Dar, hivyo mafuta yaliyonunuliwa baada ya mgogoro kuanza na bei kuanza bado hayajaingia nchini.
Kwanini mafuta yaliyonunuliwa na kuingia Nchini kwa bei ya chini yauzwe kwa bei ya juu?
3. BPS wananunua mafuta kwa wingi na mara zote yanatumika miezi mitatu au minne kama alivyosema katibu mkuu wa wizara… imekuaje mafuta ya kwenye reserve yapande bei?
4. Kuna tozo na kodi kwenye lita moja ya mafuta zaidi ya 18 au 31% yaani kila sh 100 anayotoa Mtanzania kununua mafuta anakatwa sh 31, achilia mbali 4% ya logistics ikiwemo Demurrage ambayo ni uzembe unasababisha Watanzania kubeba mzigo huu.
5. Muhimu sana tenda ilitangazwa lini na wapi? Nani na nani walishindana? Nani alishinda na kwa bei ipi? Wewe umesema mama ndio aliwambia TPDC waagize!!! Hii ni sawa na Richmond nyingine.. sheria inasemaje?
Sisi tunasema:
1. Mafuta yaliyopo hayastahili kupanda bei kwasababu yaliagizwa na kuingia kwa bei ya chini.
2. Mzigo wa kodi na tozo uondoke kwasababu ni nyingi na kubwa mno kuliko Nchi zote Afrika mashariki, ndio maana hata Nchi zisizo na bandari zinauza mafuta chini kuliko sisi.
3. Kuendelea kukandamiza Watanzania na dhuluma hii ya wazi kutaleta balaa kubwa kwenye maisha hasa ya mtu wa chini.
Maana mafuta yakipanda kila kitu kinapanda..
Bwana Chalamila na yule kijana jifunzeni kwanza mambo haya.
Mngekuwa mnaumia kudhurumiwa KURA na haya ma CCM kama mnavyoumia kudhurumiwa GOAL nchi ingekombolewa kutoka kwa ma CCM tarehe 29.10.2025...acha yaendelee kututesa
Mtu alikuwa na mtoto mmoja na ndie huyo huyo aliekuwa anamtegemea, nyie mmemuua mnasema “Madhara ni madogo”.
Watu mpaka leo wamekosa miili ya ndugu zao wameishia kuona maiti zao kwenye mitandao na kuzika NGUO mnasema “Madhara ni madogo”
Watu wamepewa ulemavu kwa KUPIGWA risasi na hawana pesa za matibabu mpaka viungo vyao vinaoza nyie leo mnasema “Madhara ni madogo”
Watanzania hawana amani kabisa hata wakisikia BARUTI wanajua wamerudi tarehe 29 mnasema “Madhara ni madogo”.
Yote hii ni kujitafutia UHALALI wa kuonekana nyie ni Bora sana AFRICA kuliko wengine.
Hawa mapimbi kabla ya kuongea huwaga wanashirikisha BONGO ZAO KWELI au vichwa vyao vimebeba KAMASI na ni pango la MENO.🚮