LETA TZS 6.8M
CHUKUA HII WEKA BARABARANI
▪️Per day 40K
▪️Per Month 1.2m
▪️1M weka Bank
▪️200K service
Kwa mwaka una 12M
Fungue a/c utakayotoa pesa after 3yrs. Halafu weka hii gari daladala kwa miaka 3
Baada ya hapo toa hela nunua kama hii 12m@)
Siku moja utakuja kunishukuru
ENEO LINAUZWA NALA CHIGONGWE DODOMA.
28km kutoka mjini na 2km kutoka singida road.
Lina ukubwa wa ekari 5
Huduma ya umeme haipo mbali. Ni jirani na viwanda vya kokoto.
Panafaa kwa kilimo, ufugaji na makazi ya baadae.
Bei ni milioni 2.3 kwa ekari.
0664 164 669
ENEO LINAUZWA NALA CHIGONGWE DODOMA.
28km kutoka mjini na 2km kutoka singida road.
Lina ukubwa wa ekari 5, barabara inafika hadi shambani.
Huduma ya umeme haipo mbali.
Panafaa kwa kilimo, ufugaji na makazi ya baadae.
Bei ni milioni 2.3 kwa ekari.
0664 164 669
KIWANJA KINAUZWA MKONZE DODOMA
9km kutoka mjini na 1km kutoka iringa road.
Kina ukubwa wa 868sqm
Document Hatimiliki
Bei milioni 19.9
Huduma za kijamii zipo
0664 164 669
NUSU EKARI INAUZWA CHISICHILI KWA MILIONI 11.9 TU
Chisichili ni mtaa unaofuata ukitokea Mkonze uelekeo wa iringa road.
1km kutoka lami ya iringa road, 16km kutoka mjini.
Huduma za umeme na maji zipo.
0664 164 669
NUNUA KIWANJA HIKI MAHUNGU DODOMA KWA MILIONI 13.9 TU.
Ni kilomita 1 kutoka singida road na 8km kutoka Machinga.
Block B plot #124
Kina ukubwa wa 395sqm, document Hatimiliki.
Kina fensi pande mbili na kinatazama barabara iliyochangamka.
Tupigie 0664 164 669
SHAMBA LINAUZWA NALA CHIGONGWE DODOMA.
23km kutoka mjini
2km kutoka lami ya singida road.
Lina ukubwa wa ekari 10
Bei ni milioni 2.2 kwa ekari.
Huduma za kijamii zipo jirani.
Mwaka 2029 shamba hili litakua na hadhi ya viwanja.
0664 164 669
NUSU EKARI INAUZWA MKONZE DODOMA.
2300sqm, big space kwa milioni 30 tu.
Hii ni bei himilivu kwa kiwanja potential kama hiki.
Mkonze ni kilomita 9 kutoka mjini , mwendo wa dakika 15 tu.
Document ni Hatimiliki
Tuwasiliane 0664 164 669
NYUMBA INAUZWA MNADA MPYA DODOMA.
👉7km kutoka mjini na 1.5km kutoka singida road.
👉ina vyumba vinne, viwili master, sebule, dinning, jiko na stoo.
👉kiwanja kina 460sqm, Document ofa ya CDA.
👉inahitaji finishing
👉Bei ni milioni 47.5 tu
0664 164 669
KIWANJA KINAUZWA MKONZE DODOMA
9km kutoka mjini na 1km kutoka iringa road.
Kina ukubwa wa 868sqm
Document Hatimiliki
Bei milioni 19.9
Huduma za kijamii zipo
0664 164 669
KIWANJA KINAUZWA NALA JAMAICA
PLOT No. 1&2 (viwanja vimeungana)
ukubwa 4143 sqm
Bei: milioni 250 tu
Document Hatimiliki
Fursa ya kipekee kwa makazi au uwekezaji kama Petrol station, Godowns , Apartments
Kiwanja ni cha kwanza toka lami ya Dom - Singida
0664 164 669
Miliki kiwanja Mahungu Dodoma.
7km kutoka mjini na 1km kutoka singida road.
Ni Mahungu block F plot #149.
Kina ukubwa wa 450sqm, Document Hati.
Ni corner plot, kina good neighbourhood na mtaa umepangiliwa vema.
Bei milioni 13.4
0664 164 669
ENEO LINAUZWA CHAHWA DODOMA.
lina ukubwa wa ekari 1.5
Bei ni milioni 4.4 tu
Halijapimwa.
Lipo jirani na makazi ya watu.
Chahwa ni mtaa uliopo nyuma ya mji wa kiserikali Mtumba.
0664 164 669
PAGALE LINAUZWA MICHESE ZAHANATI
8.5km kutoka mjini.
Mita 400 kutoka Zahanati ya michese.
Mita 600 kutoka Michese primary school.
Lina vyumba vitatu kimoja master, sebule na jiko.
Kiwanja kina ukubwa wa 336sqm, document survey form.
Bei milioni 14.9
0664 164 669