"..si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani..
Wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo;
Lakini, WAKATI na BAHATI huwapata wote. "
Mhubiri 9:11 SUV
Kosa la mwanaume sio kucheat, ni kucheat halafu kumdharau mke wake kwasababu ya mchepuko.
Kosa la mwanamke ni kuwaza, kujaribu, kuruhusu, kutoa mwanya au kuendekeza mambo ambayo mwisho wa siku yanaweza kusababisha awaze jaribio la kumcheat mume wake
Hii wanaume huwa hatusamehi.
Kama unaishi na watu na unataka kupata pesa,jitahidi upate na wenzako.
Wivu, chuki na fitina huja unapopata wewe tu na wenzako wapo na wanazihitaji pia.
Of course hutaondoa kabisa hivyo vitu ila utapunguza kiasi flani.
Kula na watu. Kula na wenzio.
jipe muda. jipe nafasi. jipe utulivu
umeshafanikiwa Mengi kwa msaada wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo nawe
wakati wa dhoruba uwe mtulivu, jipe nafasi ya kutafakari kisha acha muda uamue
shinda kimya kimya🤝
we have medical practitioners who don't wanna think or question their decisions against the medical science
would try their daily routine and intuitive sentinel opinions hoping to work for every patient.
You wouldn't want to meet them at your worst illness🙂↔️😮💨
@MapembeMedrick Binti anapewa mimba hajabakwa ni makubaliano yake na uyo aliempa afu nyie mnamuhukumu mwanaume kwa maana kwamba mtoo wa kiume yeye halindwi wanalindwa mabinti tu, mnataka mje muwe na kizazi cha mabinti tu au??
Kitu nimejifunza of recently;
The human brain thinks in a spectrum of thoughts about one specific thing.
Hii ndo sababu watu wengi wanaweza kuwa na mitazamo tofauti kuhusu jambo moja na wote wakawa sawa.
Ndio sababu vipimo vina kitu kinaitwa "Normal Reference Range"
Uchumi unalindwa na delicate balance iliyopo kati ya walio na pesa na wasio na pesa.
Guys, tusipaniki, tuko kwenye right track.
Infact, we make the world economy stable.
😂😂
Sifa kuu ya kiongozi inapaswa kuwa mtu anayeweza kuskiliza, kuchakata na kuchukua hatua za makusudi, uhakika na zenye tija kwake, taasisi anayoiongoza na watu anao waongoza.