Ifike Mahala Tutatue Matatizo Kiujumla Kulingana Na Mahitaji.
Kama Ipo Budget Ya Kununua Kichwa Cha Diesel Kwanini Msiboreshe Njia Za Umeme Kwa Hiyo Budget?.
@millardayo Na vile vituo vya mabasi daladala gerezani na kule mbagala vitumike basi kupunguza msongamano kariakoo na rangi tatu .
Maana naona gerezani imekua parking na mbagala Ipo tu huku kukiwa na msongamano unaochelewesha watu kwenda kazini na kurudi nyumbani.
@Strongperson254 @fumbokhanJr Ndugu kwenye jambo la uhuru amesema kweli Sykes family ndio waasisi wa AA African Association Ikaja TAA Tanganyika African Association Baadae Tanu Sasa CCM.
Huyo John Rupia Ndio Ametoa Viwanja Vya Mnazi Mmoja Kwa Shughuli Za Kiserikali.
Wanawezaje Kua Malofa???