Sio masika nitawatesa mpaka vuli niite papa misifa matozi wana vibegi huku wamekosa pesa ya nauli mwite wakala wa pesa maana nataka kutoa ushauri na nikichana hawaponi ma raper
Freestyle ni cool japo haina ubaridi
Na nikifika ikulu nitamjuza father kua wajumbe ni magaidi๐