#TwitterAjira
Elimu:Shahada ya Uhasibu na Usimamizi wa Fedha (GPA 3.6)
Uzoefu:Miaka 5 in Financial Accounting & Reporting (Audit Firm & NGO)
Nahitaji Kazi yoyote inayofanana na taaluma yangu
Kwasasa sina kazi niko mtaani
Wapwa naombeni Rt 500 ili imfikie Mh Raisi @SuluhuSamia ๐
@rollymsouth Nani anataka kuishi hapa,wambie waweke maZingira rafk kwenda kufanyakaz ughaibuni uone kama Kuna kijana atabaki hapa,hapa atabaki suphiani na wehu wenzake.
Nakutakia kheri mzee wetu na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi unapotimiza umri wa miaka 98. Tunaendelea kukushukuru kwa utumishi wako kwa nchi yetu na busara zako. Nakuombea Mwenyezi Mungu aendelee kukukirimia neema zake, akujalie furaha na siha njema.