MKAKATI WA IDD AMIN MAMA NA WASHIRIKA WAKE KUELEKEA DISEMBA 9, 2025.
Tumejulishwa kwamba kuna mpango mbaya sana umepangwa na umeanza kutekelezwa dhidi ya wapigania Haki nchini hasa wale ambao wanaonekana wana mrengo wa CHADEMA ili waje kuwatia hatiani kwa makosa ya Uhaini na Ugaidi.
Mpango uko hivi zimeandaliwa namba za simu nyingi za kigeni kutoka nchi za Uganda, Congo, Zambia, Msumbiji, Burundi, Rwanda, Malawi na Kenya.
Hizi namba zitakuwa zinawapigia simu za kawaida au kuwatumia watu ujumbe mfupi kupitia Whatsapp au kupigwa moja kwa moja kupitia Whatsapp call ambapo watumiaji wa namba hizi Watajifanya ni Watanzania ambao wanaishi kwenye izo nchi na wengine ni raia wa izo nchi tajwa.
Wakishakupigia wanaomba uwasiliane nao kuhusu namna wanavyoweza kusaidia Katika maandamano ya Disemba 9, 2025.
Lengo lao ni kuweka Record nzuri ya mawasiliano kati yao na mtu/watu waliowapigia au kuchat nao ili baadaye mawasiliano hayo yaje kutumika kama ushahidi katika kesi zitakazofunguliwa baada ya Disemba 9 ambazo ni kesi za Ugaidi na Uhaini dhidi ya watu ambao watafanikiwa kuwaingiza mkenge.
Watu hao wanapowasiliana na wewe ujumbe wao ni huu.
1. Wanataka Ushirikiano kati yako na wao Kwenye maandamano ya Disemba 9, 2025.
2. Wanasema wanataka kufadhili fedha ili kutimiza lengo la maandamano kwamba watafadhili fedha zipitie kwako direct ili kuandaa maandamano hayo.
3. Wanauliza namna utakavyowasaidia kuingia nchini kushiriki maandamano kwamba utawasaidiaje ili waweze kuingia nchini kwa njia za panya yani njia zisizo rasmi.
4/ Watakutaka utoe orodha ya vitu au taasisi zinazotakiwa kufanyiwa uharibifu wakati wa maandamano.
Sasa ni muhimu sana kila mmoja wetu akachukua tahadhari maana kwenye vikao vyao wanadanganyana kwamba Watanzania wengi wananjaa so wao wanaamini wakitumia ushawishi wa pesa ni rahisi kuwanasa watu wengi.
Na watu ambao wako targeted sana kwenye mpango huu ni Wanachama na Viongozi wa CHADEMA ili mwisho wa siku CHADEMA ndo ije kubebeshwa msala wa kuhusishwa na vitendo vya Ugaidi na Uhaini maana baada ya maandamano ya Oktoba 29 walihangaika sana kujaribu kuihusisha CHADEMA na matukio yote yaliyotokea kwenye Maandamano ya Wananchi lakin walikosa ushaidi.
Nimeambiwa mpango huu tayari ushaanza kutekelezwa tangu siku ya Jumapili yani Novemba 23, 2025.
So kwa kuwa tumeshajua mipango yao mapema tuishi kitaalam kila mmoja achukue tahadhari, Hakikisha hauingii au kuingizwa kwenye huu mkenge.
WE DID IT, FAMILY 🙌🏿🔥🔥🔥
Tumefikia lengo na zaidi.
Lipa Namba: 2,800,000
Mpesa: 4,400,000
Jumla = 7,2000,000
Kesho tutatoa taarifa ya mrejesho wa kulipa faini na kumtoa Matara gerezani.
Mungu awabariki🙏
Asante kwa kwa Moyo wa kujitolea kwa ndugu yetu Japheti update ya michango
Lipa Namba 1,600,000
Mpesa 1,400,000
Jumla = 3,000,000
Pungufu 4,000,000
Mungu awabariki🙏
#Justice4Matara
NAOMBA USIPITE BILA KUSOMA NA KURT
Huyu jamaa alifungwa mwaka jana jela kwa kukosa faini ya milioni 7 tu kwa kesi ya kuchapisha maudhui kuhusu vipato vya marais
Hukumu yake imekuwa na walakini sana ila kwasababu ni mnyonge akaishia jela
Kama wana X tunaweza kumfuta majonzi kwa kumchangia shilingi milioni 7 arudi uraiani tena
Maisha hayatabiriki najua wengi mnapitia majanga sana na familia zenu ila tusichoke ikifika wakati wako wa kuinukiwa hakika utainuka tena
Namba ya kuchanga hiyo hapo lipa namba voda
5554323
Jina ni MACFOODTZ
Tuanye hivo jela si sehemu nzuri hakuna mtu anapenda kuingia hapo