An absolute LEGEND.
It was a huge pleasure to share the dressing room with you and win all these titles together wearing our beloved colours. We Culers are gonna miss you a lot.
Wishing you nothing but the best for the future, my friend. @lewy_official 💙❤️
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
Ikulu, Dar es Salaam, 16 Mei, 2026.
Nimekutana na kufanya mazungumzo na Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na ujumbe wake.
Alhaji Dangote ni mmoja wa wawekezaji wakubwa Tanzania ambapo kiwanda chake cha saruji (Dangote Cement) mkoani Mtwara kinakuza uchumi wetu kupitia biashara ya saruji, ajira kwa Watanzania na kukuza sekta fungamanishi.