Nilikuwa najua habari ya Utangazaji nimejiibulia tu out of nowhere .. nikaja kufahamu baadae kumbe ipo kwenye familia..Huyu ni Bibi yangu enzi hizo akiwa anatangaza radio Tanzania ananiambia ni miongoni mwa wanawake wa kwanza kabisa kutangaza radio hiyo akiwa na (Mwalimu Amina)
Kuna shop moja ya 🥂kitaa cha Masaki huwa inafunga saa 8:30 Leo wamefunga kabla ya muda CIT iko nje inasubiri.. Mhindi anageuza kibao cha closed tuko nje kagoma kufungua.. Sasa tukawa tunajiuliza na mwenzangu CIT usiku huu mzigo wanaupeleka wapi?! Kwenda Village S/markt nyomii
Hii wikiendi Shoppers na supermarket nyingi za ushuani watapiga sana hela. Expats na middle class kama kawaida yao wataenda kununua stock ya kutosha ya msosi na mahitaji mengine.
@MijuLee_Tz @SniperBill21 Pls do aisee , Maana wengine bado kidogo tuachiwe laana huku.. Tunaonekana waongo, Tunazingua .. Naona tungekuwa wa hovyo angehisi hela tushaila ,cos kuna mtu kanisani kwao .. Kapata ajali nyuma yake na kashalipwa siku nyingi ..Yeye bado tunapigwa kalenda tu
Akili and Me is BACK! 🚀Akili and Me Season 5 is bringing a new look, new songs, and even more learning fun for kids! 🧠✨ I’m so proud to be part of a team that’s making early learning exciting and accessible for children across Africa and beyond🤩📚
Alichofanya Elizabeth Michael, Ile video ilitakiwa iende viral.. Ila cos ni Positive impact kwa jamii na sio udaku kama kutuonyesha gari jipya .. Most Online medias na mainstream watakipotezea na kukiona cha kawaida sana .. Hii ni kubwa mno,Hongera sana @OfficialLizyM ubarikiwe❤️