Niliongoza futari maalum iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mjini Zanzibar.
Napenda kupongeza juhudi zinazoendelea kuchukuliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar... https://t.co/X9USV5pSuL
Nilijumuika na wafanyakazi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), ambapo Zanzibar inaungana na nchi nyengine duniani katika maadhimisho hayo.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar... https://t.co/jdPxMzkCnn
Niliongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliyofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar.
Hitma hiyo, ilihudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo... https://t.co/D7YwLfbm6r