Siku ya WATANGANYIKA KUKOMBOA NCHI YETU NI LEO.
Leo ni 40 ya Ndugu zetu waliouliwa kikatili na POLISI na vyombo vya usalama wakidai TANGANYIKA kuwa huru tena #MO29
Muda wa kuidai TANGANYIKA yetu kuwa huru tena kutoka mikononi mwa WAKOLONI WEUSU NI LEO. #D9
REPOST 200
#D9
#Disemba9Tunatoka
#SiriNiNamba
#TupoWengi
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kumbusho!
#Tanzania: Tunapoelekea maandamano yaliyopangwa kufanyika katika 9 Desemba, @UNHumanRights inawakumbusha vyombo vya ulinzi na usalama kutotumia nguvu kuvunja mikusanyiko isiyo na vurugu, na kufanya kila jitihada kupunguza mvutano.
https://t.co/VM7GlpZ2wH
Happy UHURU DAY.
Leo ndio 40 ya ndugu zetu waliouliwa KIKATILI na SAMIA kwenye maandamano ya #MO29
Leo ndio siku ya kudai TANGANYIKA HURU kutoka kwenye UKOLONI WA WATU WEUSI. #D9
REPOST 200
#Disemba9Tunatoka#SiriNiNamba#TupoWengi#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
1. Kaa kimya ukihitaji amani.
2. Ondoka ukihitaji utulivu.
3. Samehe ukihitaji nguvu.
4. Jitume ukihitaji mabadiliko.
5. Mwamini Mungu kwa kila hatua.
Good Morning.