Kuuza dhahabu, uchakachuaji kwenye billi ya umeme, uhaba wa maji na ongezeko la kodi za ajab ni vimeweka wazi kua serikali haina pesa
Hvyo inatafuta ela kwa namna yoyote ile ..these are early signs of “ECONOMIC DOWNFALL” probably miaka 5 ijayo Tanzania itakua na hali mbaya sana
US needs Venezuela to survive. Israel state wants to take a part of Africa. China is now free to take Taiwan and also shrug it out with their money in Venezuela. Nothing now stops Russia from taking over Ukraine. Are we in the last world war yet?
Cold truth
“You are supposed to use every unfair advantage you have, looks,genetics,connections wealthy contacts, whatever “
There’s no nobility in choosing the hardest path just to feel like an underdog
Ni nature ya binadam kukataa tamaa na sio jambo jipya wala la ajab, Yesu Kristo alipopewa mwili wakibinadam alipata nature ya binadam
Technically alikata tamaa aliposema “eloi eloi Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha?”
Wape watu hamasa inaeza kua kitu pekee wanachohitaji
Najua mlikua hamjui ila miaka ya 1970s mpka 1980s Tanzania ilitambulika na UNESCO kama nchi ya juu Africa inayotoa watu wengi wanaojua kusoma na kuandika
Ilikua ni asilimia 80 hadi 85 hioo ilikua kipindi cha elim ya kujitegemea, Leo hii asilimia imeshuka mpka 77 hadi 80
Baraka ilioje kupata stress ya kutoka kazini
Baraka ilioje kupata stress juu ya chakula cha aina gani utakula
Baraka ilioje kupata stress ya kusoma
Baraka ilioje kupata stress ya jinsi gani utaongezewa mshahara
Baraka iliojee kuwaza kuhusu ksho yako