Stay warm, look cold. ๐ฅถ
Shop Chelsea scarves, beanies, and cosy layers for the festive season now! ๏ฟฝStay warm, look cold. ๐ฅถ
Shop Chelsea scarves, beanies, and cosy layers for the festive season now! ๏ฟฝStay warm, look cold. ๐ฅถ
Shop Chelsea scarves, beanies, and cosy layers for the festive season now! ๐ต
@Baba_garvin@t_simbila@zumbekhan Mbona mimi nilikiw C coy mjomba, sisi ndio tulikuwa tengo la sansiro pale! Mandazi tulikuwa tunawauzia sana na mwanangu Elisha
@TIE_Tanzania Katika kutambua unyeti wa jambo hili, Shule ya Ruhuwiko JWTZ chini ya uongozi wa mkuu wa shule inaendeleza semina elekezi kwa walimu wake frequently kwa kuwatumia wawezeshaji mliowatambua na ata leo semina inaendelea.
@fgdewji Nilimani sana kuwa na ghala la kuhifadhia bidhaa za vinywaji au mafuta ya kupikia na nyinginezo kutoka Melt Tanzania na kuwa msambazaji mkuu wa bidhaa hio mkoa au kikanda. Ahsante kwa kutambua ndoto zetu
@MsomiKhan18 @OfficialRichani Nimepigwa na butwaa sana, ni degree gani pale SUA ina kozi 7 kwa semester hakika ni maajabu walimu tu zikiwa chache ni 9 including core na selective