@meamswahili@KenaniKihongosi Kwanini CCM ya sasa ni kama headless chicken, mbona CCM imeshakuwa na waenezi wengi na hakukuwa na huu ujinga ?
Nape ameshahudumu nafasi hiyo na wengine, kulikuwa kidogo na werevu
Hawa mbona ni kama wanapanda majukwaani bila kujua wanaenda kuongea nini?
@Tweener003 Ukishuka kutokea Ilboru Tank la Maji uelekeo mataa ya Sanawari ,mbele pale mataa kulia unashuka uelekeo NAURA SPRING ,AICC & MOUNT MERU HOSP n.k kushoto unapanda Sanawenge kitaani huko ,ukinyooka unaelekea Philips,Ngulelo, Moshi mpaka Tandahimba
@Innocen89950594 Asili ya Albadili ni Ushirikina, na hafanyi jambo hilo ila Mtu anakuwa ametumbukia katika Ushirikina
Na ikiwa atakufa katika hali hiyo bila kutubia basi huyo atadumu motoni.
Unaenda kutumbukia katika kosa kubwa zaidi la huyo anayetaka kukudhulumu., Tafuta njia za kisheria
@marxwelbe@mwlkeberenge Sio kweli hapendwi na watumishi wote, anapendwa na wachache ambao ni either wanufaika wa mfumo au wajinga wachache, japokuwa nimesikiliza speech yake akiwa Urusi ameongea vizuri tu btw alikuwa akisoma na kuelezea kidogo na ukizingatia ana English nzuri kidogo ,ilikuwa nzuri