Take time today to call your parents and tell them how much they mean to you.
Deep down, those are the only people who genuinely wish you success regardless of any situation.
Show them love.♥️✨
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi
Wamekataa kuketi, kusomewa uongo
Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume
Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo
Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale
Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima
Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
Young Doctors, Please don’t hesitate to advice your clients properly especially those who are newly diagnosed with chronic illness. How come unamkuta mtu na Presha ya 200+/100+ more than once na unamuambia sio issue apunguze tu mawazo?, Learn how to break bad news Professionally.
Unapozuru kutembelea wagonjwa hospitali jaribu kutafakari kwa makini,
Utagundua hakuna anayezungumzia pesa au kazi.
Utakutana na wagonjwa ambao ndoto zao ni rahisi: mgonjwa wa figo au moyo au saratani anayetamani tu kutembea tena 🚶♂️, mwingine anatamani tu kuamka na kusali 🙏 lakini hana nguvu, na mwingine anataka tu kuungana tena na familia na watoto wake 👨👩👧👦.
Unapokuwa njiani kutoka, unaweza kuona machela zikipelekwa chumba cha marehemu 🏥.
Leo, thamini kile ulicho nacho , uombe na kutunza afya yako njema! 🌟💖
Mungu Akubariki 🙏🏾
#ElimikaWikiendi