Youβve been asking. Weβre answering. π The Show of the Year is officially within reach & the countdown to Friday starts NOW. π #CastleLiteUnlocksTz
π We are about to UNLOCK the coldest show in Tanzania.
Weβre dropping the clues from across our stories from now. Your job? Unlock the code.
7 letters. 1 headliner. Think you know whoooo it is? π
We go live with the reveal at 5PM
#CastleLiteUnlocks
The BADDEST is here π Global Icon @davido Headlines Castle Lite UNLOCKS on Saturday 7th February.
πLocation - Lugalo Golf Club, Kawe, Dar es salaam
ποΈTickets Available NOW π https://t.co/v8E6fl20XM
#CastleLiteUnlocksTz
For You ~ Mimi Mars is such an Underrated song ila ni Ngoma Kali sana Kuanzia Melody, Lyrics na Beat ya Bob Manecky .
Haters Wanasema nimeshikwa na Huba zito ππ
Nilifurahi kukutana na wataalam wa afya watanzania wanaosoma au waliokwishamaliza kujiendeleza kitaaluma kwa ufadhili wa Serikali ya Korea. Tukiwa nao kwa pamoja na baadhi ya watendaji wa @wizara_afyatz na @MuhimbiliTaifa tulishiriki kwenye halfla ya wana diaspora nchini Korea kukutana na Rais wetu @SuluhuSamia na pia mkutano ulioandaliwa na Shirika la KOFIH kama sehemu ya Korea-Africa Summit.
Baadhi ya masomo wanayosomea ni Masters degree in Global Health Security, ambayo ni muhimu kwa sasa na kwa miaka ijayo kwani tuendako hali ya usalama wa afya ni dhana ya msingi katika afya ya Dunia na jamii (Global and Public Health).
Miongoni mwa hawa wanafunzi pia ni @FMgasa28959 Felician Mgassa ambaye mwaka 2014Β alikuwa ni mmojawapo wa Mkapa Fellow chini ya @MkapaFoundation na alipelekwa kufanyaΒ kazi Hospitali ya Ligula, Mtwara na kwa muda sasa ni mfanyakazi wa Wizara ya afya akijiendeleza kimasomo kwenye Chuo Kikuu cha Yonsei mjini Seoul. Hongera sana Felician!
Ni matumaini yangu wataalam wetu hawa ambao ni waajiriwa wa serikali tayari wakirudi nyumbani Tanzania wataongeza thamani katika programu za kitaifa zinazoendelea na hivyo kutumika ipasavyo. Kila la kheri.
@UbaloziKorea@tonytogolani