@drkeithsiau Appearance of milky yellow ascites fluid in a patient with cirrhosis. Laboratory tests to perform: triglycerides, cell count and differential, albumin, total protein, cultures, and cytology. Consider imaging studies like ultrasound or CT scan
Kwa sisi tuliojiajiri njia rahisi ya kufanya wana wakutaje kwenye room ya opportunities ni wewe kuwapa michongo
Ukiwapa wana michongo nao watakutaja tu kwenye mchongo unaohitajika
internet iko na ma opportunity ya kutosha. Amka jifunze skills nenda zako katafute clients duniani huko.
Hizi za kwetu hutakiwi hata utafute mtu umlipe akufundishe as long as una uwezo wa kujifunza mwenyewe.
YT iko na videos nyingi sana unazoweza jifunza na ukatoboa.