Nawatakia Jumanne njema yenye ENERGY ya kuleta matokeo.
Ifanye siku ya leo ilete matokeo chanya kupitia KICHWA chako, MIGUU yako na MIKONO yako.
Maana
KICHWA kimebeba UTAJIRI
MIGUU imebeba WAKATI
MIKONO imebeba UTHUBUTU wa MAFANIKIO yako.
Blessed your day!!
"Kaka nakwambia ukweli, sintokuja niajiriwe TENA, maana waajiri ni MATAPELI!"
Hii ni kauli aliyonipa Alex kwa uchungu mkubwa akinisimulia kisa ambacho alikumbana nacho katika maisha ya ajira yake, Jijini Dar es Salaam.
Na hapa kuna funzo kubwa kwa Waajiri na waajiriwa.
๐งต ๐๐พ
NEW ARRIVAL๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Kama gari yako ina sterring wheel ambayo haina audio control button fika dukani kwetu chap uenjoy maisha ukiwa kwenye gari yako. Bei 120,000/=
Call/whatsapp 0754335151
Usipange KUKOSA siku ya Ijumaa Tarehe 4 (Kesho kutwa).
Hii Training ni Kwa ajili ya:-
1. Muuzaji yeyote Binafsi
2. Muuzaji wa kutoka kwenye Kampuni.
Mkufunzi ni mmoja tu: Lusajo Mwaihabi.
@masoudkipanya atakuwepo katika Question & Answers Section.
Zimebaki nafasi 13 tu!!
Pole sana ndugu yangu, nakushauri next time nenda kwenye garages ambazo wana uweledi wa kutosha na wanawapa mafundi wao trainings za mara kwa mara kuhusu ufundi kutoka kwa wataalam.
Hawa Mafundi wa chini ya mti most of them wako after money. Yaani litakokutokea shauri yako.
Nakushauri check kwenye hii garage ya @DrToyota then kama utakuwa disappointed, ntakurudishia gharama zako + Usumbufu!! ๐
KAMPUNI YA MAPEMBELO!!
Hii kampuni inaenda kupata DISASTER kubwa ya Kiuchumi kutokana na CUSTOMER SERVICE.
Hata kama walipata changamoto zisizoepukika, walipaswa kuwa-handle vizuri wateja wao.
Mambo ambayo wangefanya ni:-
1. Kuwasiliana na wateja wao mara kwa mara na kuwapa taarifa ya mizigo yao.
2. Wangekuwa wanapokea na kujibu jumbe za wateja wao.
3. Wangetafuta namna ya kuwasaidia wateja wao wanaoteseka kwa ajili yao.
UDHAIFU WAO:-
Inaonekana kampuni hii hainaa vitengo vifuatavyo:-
1. CUSTOMER RELATIONS / PUBLIC RELATIONS
2. RESCUE ANALYST
3. BAD MANAGEMENT
MATARAJIO:-
1. Kampuni itayumba na kurudi nyuma kwa zaidi ya 80%
2. Inaweza kufa kabisa.
NAMNA YA KURUDI SOKONI:-
1. Wafanye Rebranding ya Jina jipya.
2. Watengeneze Marketing Plan & Strategies za kuwarushisha sokoni.
SOMO:-
BAD CUSTOMER SERVICE CAN TOTALLY KILL YOUR BUSINESS.
Kwa mara ingine Tena, tumeleta kitu Cha tofauti katika Luxury Auto Garage ya @DrToyota .
This is a TINT BOOTH ndani ya Sinza Vatican.
Nashukuru kwa heshima kubwa na kuaminiwa katika kuongeza UBUNIFU kwenye project hii. ๐๐พ๐๐พ
HABARI njema Kabisa Ni Hii Hapa yani Kufanya Tinting Kwenye Magari Kwa namna Ya Kisasa Kabisa ๐ฃ๐๐ฅ Only @dr__toyota
BOOKINGโ๏ธ 0784753111
Tinting room designed by @sajo_mwaihabi
"Hebu angalia kati ya hiyo Corolla Spacio na Rav4 ipi itakufaa? Utakayoipenda chukua. Na ninatamani uchague gari ambayo haitakuwa liability kwako"
Hayo ni maneno ya mteja wangu akinipa zawadi kwa kazi ambayo MATOKEO yake yamemgusa na kunibless ndinga.
Issue ilianza hivi
๐งต ๐๐พ
THE POWER OF CONSISTENCY ambacho kiliandikwa nami, lakini kimebeba HISTORIA ya mfanyabiashara nguli Dr. Toyota.
Baada ya kusoma kile kitabu, alilazimika kwenda kwenye ofisini kwake Sinza Vatican.
Alipofika, akakutana na moja wa viongozi wa pale. Akawahoji kuhusu Branding nzima.