"Let us then approach God's throne of grace with confidence, so that we may receive mercy and find grace to help us in our time of need." - Hebrews 4:16 (NIV)
Come boldly to His throne today. His grace is enough! 💙
@INFLUENCERjr Iran ame kataa unyonge, ila kutakua na something Americans wanalenga kama ni destruction they could have done earlier ,.ngoje tuone chess inavyo chezwa.
@piplost_@EsirEid Sema black skins kuna mahala tunashida , intelligence ya kujua tu alipo polepole tumekosa, kusoma grid references za mass grave hadi tusanuliwe ila udini na chuki inherited from colonialism tumeweka mbele such cursed peoples..em tuamke hata kiakili
@HalsHjay@kasesco_tz Kwahyo MUNGU kaumba watu na kuja kuwaangamiza kwa confusion ambayo angeweza ifafanua, MUNGU ana kipimo chake mweyewe , ndio maana ikaitwa Iman sababu we ain’t sure but believing (kuamini) MUNGU anapenda watu wote just do Good things ..Ramadhan Kareem.
@EsirEid That’s an AI video, ni baada ya rumors za kuwa hayupo zikawa generated., bado haijawa confirmed ni either kafa au la , strategies zao hatuwezi zijua kama za hapa tu zimetushinda kujua