@Elsukay0 Usijimalize sana, mara nyingi timu hupoteza mechi ambazo mashabiki wake wana uhakika wa kushinda. Unawaona yanga wana mechi ngumu kama vile tayari simba washinda mechi zao zote.
@Elsukay0 Sina uhakika kama wadhamini wa simba wamezuiwa kudhamini timu nyingine zaidi ya simba pekee. Waambie nao wafanye hima waidhamini hadi hiyo yanga yenyewe ili nao waokote points za kutosha.
@shaffihdauda1 Hajachezea zambia timu ya wakubwa? Ana miaka mingapi? Ni muhimu kuliko wachezaji wengine wote tulionao kwenye league yetu na wenye umri mdogo?