@HalsHjay@godbless_lema Unaujua hata uo uwanja vizuri?! Huo ni uwanja wa shule ya msingi magereza unaomilikiwa na jesh la magereza ulitaka waweke lami kweny uwanja wa michezo tena wa shule??
Mkoa wenye watu wengi - Dar Es Salaam
Mkoa mkubwa kuliko yote - Tabora
Mkoa wenye Wilaya nyingi - Mtwara
Mkoa wenye makabila mengi - Mara
Mkoa wenye Madini mengi- Shinyanga
Mkoa wenye Vivutio vya Utalii vingi - Arusha
Mkoa Wenye Wasomi wengi- Mbeya
Mkoa wenye misitu - Tabora