Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya Salum, ameketi na #MFALME@Salym pamoja na mengi ametolea ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba imepokelewa kwa mitazamo ya Kisiasa.
#CrownMedia#HapaNiNyumbani#TupoMwakaWaMbele
Hawa ni wagonjwa mahututi waliolazimika kuiba dawa baada ya kunyimwa matibabu kwa sababu hawana fedha.
Wameichenga HESLB ili waweze kupata nafasi ya kusoma vyuo vikuu kwa maslahi mapana ya umma.
Wanaopaswa kupelekwa mahakamani ni washenzi wanaotumia trillion moja kugharamia safari huku vijana wakikosa fursa za elimu na kulazimika kughushi nyaraka.
@safarimlevi Wale hata wanawake wao sio mbegu nzuri kuzalisha, linaeza toka toto mmoja livivu alafu ni lakiume . Bora nyerere angetuletea mbegu za wachina . Tokea tuungane na Zanzibar mikoa inayo pakana nayo kama dar imekua michafu sana sio mazingira , maadili hadi nguvu kazi.
Magufuli alitenda haki sana hapa. Na siku tanganyika ikiwa na mahakama huru, tutaona ukatili wa serikali tulio ishabikia kufunga hiki kipaji cha kitanganyika maisha jela ilikua ni kosa kubwa la kibinadamu. Labda tuendelee shabikia ukatili
Kwenye hii kesi ya huyu janja wa Sinza alijaribu kuikana ila wapi.
Alijaribu mpaka kusema yeye hana nguvu za kiume na demu wake farida akasema janja mkia hauchezi.
Janja akaona bado mzigo ni mzito akasema since 1999 alikuwa haishi sinza ila wapi.
Oyaa kaa mbali na wazito 😂
Hii nchi ili jengwa na nyerere,mkapa na magufuli wengine waliingia madarakani kwa vivuli vya maendeleo yao. Ndo maana walarushwa wengi na wazembe wako kwenye viongozi vivuli. Imagine kikwete alilipa wafanyakazi hewa miaka 10 hadi magufuli alipoingia akatoa huo upuuzi.
Mkapa aliamini sana kwenye kusikiliza mawazo ya watu wengine.
Alianzisha bodi ya mikopo ya elimu ya vyuo vikuu ili kupata wasomi.
Pia alitoa majengo ya tanesco morogoro yakawa chuo kikuu leo hii ni MUM.
Hotuba nyingi za Dkt Nchimbi zinaeleza viongozi kupokea mawazo ya watu.
Mzee anatumia cheo raia tulicho mpa mwaka 2005 kusambaza popaganda za yalio tokea 29/10 . Ndo maana magufuli hakumpenda sana katika serikali yake alipenda ashauriwe na Benjamin mkapa na sio huyu.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais Donald Trump kuhusu masuala ya Afrika, nchi za Kiarabu na Mashariki ya Kati, baada ya kufanya mazungumzo pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum unaofanyika Oslo, Norway.
Mkutano huo, unaofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Juni, 2026, umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia waandamizi na wadau wa masuala ya amani, diplomasia na usuluhishi kutoka nchi mbalimbali zenye ushawishi duniani.
#KitengeUpdates
CAG kila mwaka anatangaza uwizi huyu na uwaziri wote yuko busy kusoma comment za matusi. We mzee , dadako kaua watu 500 na kaenda apishwa uraisi kwenye handaki. Ukitoka kwenye handaki lazima ukute matusi yanakusubiri juu tena pale ambapo hujawajibika na uuaji ulio fanya
Unaeza dhani ni maendeleo hadi uwaulize wakala wasimu wanawasaidia watanganyika wangapi kutoa pesa kwenye simu zao wenyewe kwa kukosa elimu na wengi kuibiwa kwa mfumo huu.
Tanzania kuelekea uchumi usiotumia fedha taslimu (cashless economy).
Kuanzia 2026/27, Serikali inataka malipo yafanyike kidijitali:
Nauli za mabasi, reli na ndege
Ada za shule na vyuo
Hoteli na migahawa
Mauzo ya ardhi na nyumba
Miamala ya mazao ya kimkakati.
#BajetiYaSerikali2026
Tozo ya swimming pool, tozo ya PID , tozo ya uzalendo tena ? Kwamba huku tanganyika tunazaliwa kimakosa? Au naeza zaliwa tanganyika nikasema me mburundi? Hiyo tozo ya uzalendo watoe wa Zanzibar maana hawajitambui hata kama wao ni watu weusi wanajijua ni waarabu
Serikali imesema inakusudia kuanzisha Tuzo ya Uzalendo kupitia mfumo wa usimamizi wa risiti za kielektroniki itakayozinduliwa Julai 2026 na kutolewa kwa mtindo wa bahati nasibu.
Lengo ni kuhamasisha wananchi kudai risiti stahiki pindi wanapofanya ununuzi, na wafanyabiashara kutoa risiti kwa hiari pale wanapofanya mauzo.
Kuna ile meli ilio kutwa na madawa ya kulevya ya cocaine ambayo ni unga wa Zanzibar maana tanganyika hatuna vijana wanao sumbuliwa na uwehu, ivi nani alichukuliwa hatua @MsigwaGerson ?
Not really china gave us products the west gave them education. We should be smart enough to get educated before being greedy to receive cheap manufactured products
USA sio nchi ndogo wana elimu ya dunia hakuna nchi ina kwepa experts wake wasisome marekani, hadi cartels wanapeleka watoto shule marekani. Kuidharau marekani ni ujinga mkubwa hata china hawajaribu kua na ujinga kiasi hicho.
Wakuu naomba kueleweshwa ni inawezekanaje mtoto mdogo kama huyu akawa Askari wa Jeshi la Polisi (WP) ambaye amehitimu mafunzo na ulinzi juu au siku hizi ndani ya Jeshi kuna Polisi Chipukizi.