Huu sio mkutano wa hadhara ni Barabarani tu Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Nchimbi akizungumza na wananchi wa Bunda, walipomsimamisha awasalimie akiwa njiani kuelekea Musoma, tarehe 22 Aprili 2025. Hapo hakuna kampeni yoyote ni ziara ya kawaida tu ya kuwaanda wananchama na Uchaguzi
Huu ni mkutano wa Tawi la UVCCM Chuo cha Kimataifa Cha Kampala wala sio Mkutano wa hadhara
Vijana wamempokea katibu Mkuu wa @uvccm_tz ndugu @jokateM wakimpongeza mhe Rais @SuluhuSamia kwa miaka minne ya dhahabu ya uongozi wake katika Taifa letu deni tutalilipa oct. 2025kanp
Kabisa , sikuona haja ya wao kususia mechi. Mm nafahamu kupitia kanuni Kuna adhabu kwa timu ambayo imeshindwa kutimiza wajibu wake kwa mgeni lakini suala la wao kukimbia mechi wametumia kanuni gani???
Pamoja na @ChademaTz kuhamasisha wananchi wasijiandikishe leo mafuriko ya Wananchi wa Mkoa wa Dar Es salaam wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kuelekea uchaguzi Mkuu October 2025.
unalipi la kuwambia @ChademaTz na no reform no Election????
Muda mchache ujao nitashiriki katika Malumbano ya hoja @ITVTANZANIA kuangazia mada inayosema "Nini kifanyike ili vijana washiriki siasa za maendeleo ya Nchi yao badala ya kutumika kama madaraja ya wagombea wengine ?"
Ni upi mtazamo na maoni yako kama kijana wa Kitanzania?
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.
Programu ya Mafunzo na Ujuzi kwa Vijana kama Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT): unawasaidia vijana kujiajiri kupitia kilimo, mifugo, na uvuvi kwa kuwapa ardhi, pembejeo, na mafunzo huku Serikali ikiimarisha vyuo vya VETA na kutoa mafunzo ya ujuzi kwa vijana ili waweze kujiajiri.
Uwezeshaji wa Kijamii na Kiuchumi juu ya Mikopo kwa Vijana Serikali inatenga asilimia 4 ya mapato ya halmashauri kwa ajili ya mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya vijana, kusaidia biashara ndogo na za kati
Ni hatua kubwa kumkomboa kijana wa kitanzania asante Rais @SuluhuSamia
Ushiriki wa Vijana Katika Siasa na Uongozi ,Serikali inahamasisha vijana kushiriki katika uongozi na siasa kupitia vyama vya vijana, ikiwa ni pamoja na UVCCM, Rais @SuluhuSamia ameonyesha dhamira ya dhati kuhakikisha vijana ili kuwa sehemu ya maamuzi ya kitaifa.