TUMIA BLUETOOTH KUUNGANISHA INTERNET.
BLUETOOTH TETHERING π§΅π§΅π§΅
Bluetooth pia inaweza kutumika kama njia ya kuunganisha internet kutoka kwenye simu yako kwenda kwenye PC / Laptop π» yako
NJIA NYEPESI YA KUZIAFAHAMU PASSWORD YA WI-FI NETWORK ULIYOUNGANISHWA.
Uzii π§΅π§΅π§΅π§΅π§΅π§΅π§΅π§΅.
Uwa inachekesha sana mtu anakuuliza unaijua password ya hapa na mm uniunganishe, unasema ujui wakati PC/Laptop yako ipo connected basi soma hii mpaka mwisho π
Jeans π & shirt short sleeve best quality and original branded clothes zinapatikana dukan kwetu
Nicheki DM for details au fika dukan kwetu kinyerezi mwisho kanisan
Karibuni kwa huduma na bidhaa bora
Uzi : NASAHA YA MWISHO YA MAMA KWENYE SEND OFF YA MWANAE KIPENZIπ
Mama mmoja aliombwa kutoa nasaha ya mwisho yakumjenga Binti kwenye maisha ya ndoa ya mwanae yakawe kheri katika kuyaishi kwenye ndoa yake na mama huyo aliyaongea kwa hisia kali kama hivi...π