Kwa baraka zote kutoka kwa Rais wa @CrownMediaTZ amemkabidhi taji la ushindi wa kujiunga kwenye Familia ya kifamle. Bingwa kabisa, uzoefu wa kutosha, kiswahili safi, aliyeibeba Bongo Fleva mabegani kwa miaka 15 @dullah_planet planet kwa pamoja tumkaribishe FUNDI NYUMBANI.
Wengine wanavua hadi nguo mradi apate ka clip watu wanampigia makelele, apost IG ajifurahishe. But not anything to improve perfomance" - Director Hanscana.
Wewe ni kipi huwa kinakuboa kwenye shows za wasanii wetu wa Bongofleva?
Director nguli wa Video za muziki wa Bongofleva nchini, Hanscana amewachana wasanii wa muziki huo wanaowaza kupata shangwe jukwani na sio kufanya show nzuri na kuongeza kuwa kuna utofauti mkubwa kati ya shangwe na performance nzuri.
Kwa mujibu wa Insta story ya Hanscana ameandika;
"Kuna tofauti kubwa kati ya show nzuri na shangwe. Wengi mna-show mbaya mmmmmno kila anayepanda analilia shangwe anasahau performance yani atafanya vyovyote apate shangwe.
Kipimo cha Amani Duniani, Global Peace Index (GPI) kimetaja nchi 10 zenye amani zaidi mwaka 2022, Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Nchi hizo ni;
1. Senegal, alama 70
2. Namibia, alama 68
3. Malawi, alama 65
4. Guinea ya Ikweta, alama 59
5. Zambia, alama 56