10. Hii ni hadithi ya kweli ya kijana aliyekuwa nyota wa mpira wa high school, ambaye alisingiziwa kesi ya ubakaji na msichana wa miaka 16.
Alifungwa kwa miaka sita kwa kosa ambalo hakulifanya, hadi pale msichana huyo alipokiri kuwa hakubakwa.
Siku kesi ilipofutwa rasmi, kijana huyo alilia kwa uchungu—akiwa ameishi gerezani kwa miaka yote hiyo kwa uongo aliotendewa.