Mara nyingi huwa kuna tetesi potofu zinazosema kondom huwa zina madhara kwa mtumiaji. Kwa mtazamo wako nini kifanyike kurekebisha hizi imani potofu? Tupia comment hapa ili tushauliane #unatokavipi#chaguolamwanaumewakweli#mtazamo
#Mtazamo Sehemu ya 3: Team Extreme ambayo imesimamiwa na @IdrisSultan na Team Desire ambayo imesimamiwa na @AyTanzania, wakijadiliana kuhusu mada ya "Uaminifu.β Bofya https://t.co/QcQG28ONcD kuangalia kisha utuambie mtazamo wako. #unatokavipi