Kiasili hakuna kitu umaskini. Haukuwepo dunia ilipoumbwa. Umaskini ni zao la akili za binadamu. Ni zao la gunduzi za binadamu. Kwenye asili hakuna umaskini. Ni sawa sawa na kusema kuna pundamilia, simba, au kondoo maskini.Lakini kwakuwa binadamu anafikiri umaskini umekuja.