Baada ya miaka 24 ya kucheza mieleka na kuwa bingwa wa dunia wa WWE mara 17, hatimaye John Cena amestaafu rasmi kucheza mchezo huo akiwa na umri wa miaka 48. John Cena anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji bora wa muda wote wa Mieleka. Jumamosi ameagwa rasmi kwa heshima kubwa sana