Habari za Mchana.
Kila kitu tulichopanga kwa ajili ya iRun Charity tumefanikisha kwa 100%. Muhimbili wamepokea vitu Rasmi.Item Namba 14 tunasubiri kupata control number ili kuwalipia watoto operation zao.
Asanteni sana. God bless you all.
#InspiringGreatnessOneStepAtaTime. 🖤🔐