Umati wa zaidi ya Wasomi 2500 ulijumuika kwa pamoja katika Uzinduzi wa WIKI YA MAMA , uliofanyika tarehe 16/03/2025.
Wiki yenye lengo la kuzisema jitihada za kweli zilizofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kipindi cha miaka 4 mpaka sasa.
#SAMIA MITANO TENA
@Ntobi_@ComradeKawaida@SuluhuSamia Taifa letu, linahitaji Kiongozi mwenye kuitazama nchi Kama nyumba yake; Kiongozi anayeipambania nchi kwa Nguvu zake zote bila kutazama nini kina semwa dhidi yake, akiamini kuna siku Watu watamkumbuka hata Kama kwa sasa Hawamuelewi. Nakumbuka Magufuli walikua wanampinga hivi hivi!
Jah Bless For this Another Wonderful Year!🙏🚀🌟A journey to Billboard continues my Family!❤️ Special thanks to all who support my Dreams & the Whole Worldwide Movement!❤️🌟🚀 https://t.co/rCl3UCwr8r
Jah Bless For this Another Wonderful Year!🙏🚀🌟A journey to Billboard continues my Family!❤️ Special thanks to all who support my Dreams & the Whole Worldwide Movement!❤️🌟🚀 https://t.co/ug0dfat7xY
🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzania, Nchi ya Amani na Furaha.
@geofrey_kiliba
📸 @jlundagraphics @jlundapicha @ Julius Nyerere International Convention Centre https://t.co/WbSeHsOQfn