i. Ukubali uwe na amani kusubiri kilicho bora zaidi au wakati mwingine ubaki hivyo hivyo.
ii. Uamue kupingana nae, ujitie mawazo, uishi kwa msongo mkubwa na mwisho uwe muasi.
JUA NAFASI YAKO
#wikibookspublishers
JUA NAFASI YAKO KWA MUNGU.
🧵👇
Ilikuwa wazi kuwa Jonathan atarithi kiti cha baba yake Mfalme Sauli, lakini hayo hayakuwa mapenzi ya Mungu maana tayari alishaamua kuwa Daudi ndiye atakuwa Mfalme
FUNZO: Mungu anapoamua nani awe nani anafahamu zaidi kusudi, hata kama kwa namna za kibinadamu unaweza kuwa na uhalali wa nafasi hio lakini kiroho inaweza isiwe hivyo. Mungu anapoamua kuwa tofauti na unayoyatarajia kuna mawili;
Senakeribu mwenyewe akakimbia huko Ninawi kwa mungu wake, lakini hata hivyo akauawa na wanae wawili maana kwao Ashuru kuua ilikuwa kama mchezo. Na hivyo Mungu ndivyo jinsi alivyomuokoa Hezekia na Yuda wote.
Umejifunza nini kwenye kisa hiki?
MAOMBI YA MFALME HEZEKIA - PART 3
Hivyo basi Hezekia akaamua kuuchukua ule waraka na kuupeleka mbele ya madhabahu ya hekalu na mbele ya sanduku la agano, akasali hivi "
Baada ya sala hii Mungu akamjibu Hezekia kwa kutuma malaika, na usiku huo askari laki na themaninin na tano ambao walikuwa wameuzunguka ukuta na malango ya Yuda wakauwawa,
Senakeribu alimuahidi kumtunza Hezekia kwenye nyumba ya makunbusho ya Ninawi awe kama historia kwa vizazi vijavyo vya Ashuru hadi atakapo kufa, hii ilikiwa ni dhihaka kubwa kwa Hezekia.
...............
kwa mguu kutoka ikulu yake (umbali kutoka Yerusalemu hadi Ninawi ni takribani maili 600 ambazo ingemgharimu Hezekia kutembea kwa siku 30-36) huku akiacha wakazi wa Yuda (wananchi wake) wauwawe,