EABC is taking part in the Adventure Tourism Conference organised by UAE Fujairah Government and UN Tourism . EABC CEO Imani Kajula will be amongst distinguished speakers during this Global Adventure Tourism Conference aiming to shape the Adventure Tourism.
Mikakati ya masoko ni muhimu katika kukuza biashara. Darasa hili la Wajasiriamali kutoka kwa mbobezi wa masoko lipo kwenye youtube channel ya EABC.
Jumamosi hii mada ni Ukuzaji wa Mauzo ya Biashara yetu. Jisajili kupitia link kwenye Bio. Hakuna malipo.
Lengo la Ujasiriamali ni kufanya biashara yenye faida, Ujuzi wa masoko (marketing) ni nguzo muhimu ya kukuza biashara yako. Pamoja na kukuza soko, Kuifanya biashara yako iwe tofauti ni nguzo nyingine muhimu kwenye biashara yako. Wajasiriamali Darasa - https://t.co/YWPhppGsRi
Mambo 8 Muhimu ya kuzingatia ili biashara yako isikwame na ikue zaidi. Mafunzo haya yalitolewa kwemye Darasa la Wajasiriamali Jumamosi.
Kupata madini haya muhimu ingia kwenye - YouTube Channel ya EABC kupitia link kwenye BIO .
Unataka Kukuza Biashara yako ? Kama ndio basi Wajasiriamali Darasa la wiki hii si lakukosa. Jisajili kupitia hii π
https://t.co/moDnPfpORr
We have one of the seasoned Entreprise development expert this Saturday to discuss ways to grow your business. Tell a friend.
Wajasiriamali Darasa - Moja ya mada za Wajasiriamali Darasa lililofanyika tarehe 20 Disemba 24 "Unawezaje kutumia mitandao ya kijamii kukuza biashara " ? . Kwa undani tembelea ukurasa wa EABC Extramile YouTube Bonyeza link kwenye BIO .
Startup week: Afisa Mtendaji wa EABC Imani Kajula alitembelea kongamano la startup na kufanya mazungumzo ya pembeni na Afisa Mtendaji wa Zanzibar StartUp Association Ikram Soraga juu ya miradi ambayo EABC inatekeleza ambayo pia Zanzibar itanufaika.
#tokakijasiriamali
Kuna fursa nyingi sana kwenye uchumi wa kidigitali. Ni tarehe 21 disemba 2024. Wajasiriamali darasa la mwisho wa mwaka 2024, jisajili upate ujuzi wa kutumia uchumi wa kidigitali kwa faida. Hakuna gharama yoyote ya kushiriki.
Taasisi za EABC na UCC ( University of Dar es Salaam Computing Center) zimefanya mazungumzo yakiwa na lengo la kushirikiana kukuza ubunifu na ujuzi kwa vijana ikiwa ni sehemu ya nguzo kuu ya utekelezaji wa miradi ya EABC kwa kushirikiana na wadau wa kimkakati
Taasisi za EABC na UCC (University of Dar es Salaam Computing Center) zimefanya mazungumzo yakiwa na lengo la kushirikiana kukuza ubunifu na ujuzi kwa vijana ikiwa ni sehemu ya nguzo kuu ya utekelezaji wa miradi ya EABC kwa kushirikiana na wadau wa kimkakati
Hasira zake kwa umaskini ndio ilikua chachu yake ya kuanzisha biashara. Madini ni mengi katika Wajasiriamali, Darasa la kwanza. Nini imekua msukumo wako kuanzisha au kufikiria kuanzisha biashara.
Clik Link kwenye BIO. Tafadhali Follow Youtube chanel yetu EABC Extramile.
Hasira zake kwa umaskini ndio ilikua chachu yake ya kuanzisha biashara. Madini ni mengi katika Wajasiriamali Darasa la kwanza. Nini imekua msukumo wako kuanzisha au kufikiria kuanzisha biashara?
Clik Link kwenye BIO. Tafadhali Follow Youtube chanel yetu EABC Extramile
MAMBO MATANO MAKUBWA kutoka Darasa la Wajasiriamali la Jana.
π Darasa ya Wajasiriamali la Jana litawekwa kwenye Youtube ili na wewe upate MADINI muhimu ya kuanzisha au kukuza biashara yako.
FURSA YA KUKUZA UJUZI WAKO NA KUJIFUNZA. BADO SIKU 1. Kujiunga bonyeza link kwemye BIO .
TOPIC π―
β Namna ya kujenga wazo na kutambua fursa za kibiashara.
β Ubunifu na uvumbuzi wa Biashara.
β Jinsi ya kujua mahitaji ya wateja na masoko.
Darasa la Wajasiriamali - Ni furaha yetu kubwa kuanza kutoa mada mbalimbali za ujasiriamali kupitia Darasa la Wajasiriamali. Lengo letu ni kuhakikisha wajasiriamali wanawezeshwa ili kuweza kutumia fursa zilizopo hasa soko la huru la Africa na pia la Africa Mashariki.
Afisa Mtemdaji Mkuu wa EABC Imani Kajula amekutana na Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mh Ridhwani Kikwete na kufanya nae mazungumzo yaliyolenga kuelezea miradi ya EABC na maeneo ya ushirikiano na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Our Mission
creation of sustainable solutions to foster trade, entrepreneurship and employment across the region.
Our Vission
To be a catalyist of entrepreneurship, trade growth and a platform for employment creation for youth in the region.