EAFoods Tunapenda kuchukua nafasi hii ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kuwashukuru wafanyakazi wetu kwa mchango wao katika kukua kwa kampuni yetu.
Tunawatakia heri ya Siku ya wafanyakazi Duniani.
#EAFoods#MeiMosi
Every farmer registered is a step towards stronger communities and a more secure food system.
Out in the field for the 2024/2025 registration connecting farmers to opportunities and ensuring no one is left behind.
#EAF#EAFoods#FarmerRegistration#FoodSecurity#Impact
Did you know?
EAFoods sources directly from 10,000+ smallholder farmers across Tanzania, ensuring they get fair prices & better market access!
#EAF#EAFoods
Merry Christmas from all of us at EA Foods🎄
Wishing you joy, love, and blessings this festive season! 🌟
_
Heri ya Krismasi kutoka kwetu EA Foods🎄
Tunakutakia furaha, upendo, na baraka katika msimu huu wa sikukuu!🌟
#MerryChristmas#EAFoods
Heri ya Siku ya Uhuru wa Tanzania!🇹🇿
Tunaposherehekea miaka 63 ya uhuru, tunawashukuru wakulima, wateja na washirika wetu wote.
Pamoja, tunajenga taifa bora zaidi! 🍌🥔🍚
#TanzaniaAt63#IndependenceDay#EAF#HeriyaSikuyaUhuru
We carefully select the best bananas, monitor the ripening process, and pack them with care to preserve their natural sweetness and texture.
Tunachagua ndizi zilizo bora zaidi na tunaziandaa vizuri na kwa ubora kuhakikisha mteja anapata kilicho bora.
From farm to your table, we ensure that our potatoes are not only fresh and nutritious but also consistently meet the highest standards of quality.
Kutoka shamba hadi kwenye mezani, tunahakikisha kwamba viazi vyetu sio tu vizuri na vyenye lishe bali vinakidhi viwango vya ubora.
We actively partner with farmers to help them improve their farming techniques, adopt eco-friendly practices, and boost their crop yields while reducing environmental impact.
Mnamo tarehe 14 Novemba, tulibarikiwa na nafasi ya kuwa na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wetu na Mwanzilishi, Bwana Elia Timotheo, na Mwenyekiti wetu wa Bodi, Bwana Hugo Van De Voorde, wakifungua tawi letu jipya Zanzibar.
kila bite ya ndizi ni ya kipekee, inakufanya uwe na nguvu, ujisikie vizuri pia inaleta furaha.
Every bite of a banana is unique, it makes you strong, it makes you feel good, it also makes you happy.
Wakulima wote walioingia mkataba na EAF, wana uhakika wa soko kwa mazao yao pia manufaa kwa Uchumi wao.
All the farmers who entered into a contract with EAF, are sure of a market for their produce and benefits for their economy.
Bananas provide livelihoods for millions of smallholder farmers, especially in developing countries, in Central and South America, Africa, and Southeast Asia.
Kutoka familia ya EA Foods, tunatoa salamu zetu za pole kwa wale wote walioathirika na tukio lililotokea Kariakoo, tunaungana na watanzania wote katika kipindi hiki kigumu.
Potatoes are such a versatile and delicious food! Whether mashed, roasted, fried, or baked, they can be enjoyed in so many ways. Do you have a favorite way to prepare and enjoy them?