@0101DUBU Huna ushahidi kuwa alikuwa akikutumia, angalau ungezaa huyo mtoto ingekuwa karata nzuri kwako, ila siunaona baada y mimba kutoka ndo amefungua makucha yke!, na ikiwa kwenye kazi alikuwa na nguvu y kupiga simu moja tuu kuwa usiajiriwe sembuse huko mahakamani?, hapo nenda kaanze 1.
@0101DUBU Inshort n kwamba, "MUWINDAJI KAWINDWA" amesema lengo lake alikuwa anataka kumchuna kisha amwache (Yeye ndo alikuwa muwindaji), ila finally yeye ndo Kawindwa, maana alichokuwa anakitaka hajakipata, na kuhusu kumshtaki, atakukana maana huna ushahidi ⤵️
@0101DUBU Endelea kumla mpaka atakapokuambukiza maradhi yasiyo na tiba ndo uachane naye, jinga kwel wew,asa ushaona demu anaku cheat halafu bado unataka kuendelea naye, hiv hata hamu ya kuingiza uboo wako kwa kuma yke bado utakuwa nayo?
@0101DUBU Haya ndo matatizo ya kurithi majina. Mimi watoto wangu siwapi majina ya kurithi maana ukirithi jina jiandae kurithi na tabia pamoja na hali ya uliyerithi jina lake
Huu ndio mkataba unaomtesa Congo DR dhidi ya Rwanda na wakulimaliza hili ni Congo DR mwenyewe.
Mapema usiku wa tarehe 16/3/1996 viongozi wa Rwanda, Uganda, Sudani kusini na Ethiopia pamoja na kiongozi wa AFDL Laulent kabila walisaini “Makubaliano ya mkataba wa Lemera”.
Mkataba huu ulikuwa na shabaha ya kuigawa nchi hiyo kubwa mikononi mwa Marekani kupitia usimamizi wa Rwanda, Uganda, Sudani kusini na Ethiopia, huku Kenya na Tanzania wakiwa ndio wenyeviti wa kuinjinia mkataba huo wa lemela.
Japo baadae Tanzania ilijitoa kuunga mkono kuigawanya Kongo baadala yake ikaunga mkono msimamo wa Laurent Kabila katika kukataa kuutekeleza mkataba wa lemela, ambao kupitia mkataba huo ilizalishwa operation maalum iliyoitwa "Operation Banyamrenge".
Operation hii ililenga kumuondosha madarakani Mobutu, kiongozi wa muda mrefu wa Kongo na kibaraka wa Marekani ambao mpaka kipindi hicho walikuwa tayari wamemchoka kutokana na mabadiriko ya siasa za dunia.
Katika Makubaliano hayo yalio fanywa kati ya Laurent Desire Kabila na mataifa hayo huku Kabila akiwa kama kiongozi wa chama cha “kuikomboa Kongo” aliyekuwa akitaka kuondosha utawala wa dikteta Mobutu Sese Seko alipewa masharti ambayo yalianishwa kwenye mkataba wa Lemera.
Ambapo moja ya masharti ilikuwa ni kishirikina na wapiganaji wa Kinyarwanda kutoka Rwanda, Uganda na watutsi walio kuwa na makazi mashariki mwa Kongo, na baadae ya mapigano atoe sehemu ya ardhi mashariki mwa Kongo kama shukrani kwa Rwanda na Uganda huku akiruhusu usalama wa taifa hilo kuwa mikononi mwao.
Makubaliano hayo yalifanyika kwenye vilima vya Lemera vilivyoko Kivu ya Kusini katika mji wa Uvira na kujulikana kwa jina hilo, la "mkataba wa lemera" makubaliano hayo yalitaka Kabila, baada ya kuwa rais wa Kongo, aruhusu mikoa miwili ya Kivu Kaskazini na Kusini kuwa makazi ya Wanyarwanda wa kabila la Kitutsi.