📍Chato
📹:Halmashauri ya Mji wa Chato ikishirikiana na Shirika la Nyumba la Taifa-NHC linawaletea mradi wa uuzaji wa viwanja vya matumizi mbalimbali katika eneo la Rubambangwe pembezoni mwa ziwa victoria na barabara kuu iendayo Bukoba
Kama Unafikiri Pesa Tu Ndio Inabadili Watu Tabia
Njoo Kwenye Sherehe Za Harusi Uone Wale Watu Wanaogawa Chakula Na Vinywaji Kwenye Bufee Wewe Unawaonaje?
Sikuizi Wanaume Wanawaza Mapenzi pale Wanpoakuwa na Nyege na Wanawake wanawaza Mapenzi pale wanapokuwa Na shida ya hela Ndo Maana Mapenzi ya kweli Hakuna Siku Hizi.