Kula Vocha hiyo ujimwage na vifurushi vya OFA YAKO sikukuu hii ya Eid.
Kama hujapata bofya RETWEET kisha saa sita mchana uwe karibu na page yetu maana tunadondosha nyingine.
Piga *149*99# kupata OFA YAKO.
#MkonoWaEid
@airtel_tanzania jana nimetaka kifurushi cha sms kwa kutumia airtel money naambiwa sina muamala..wakati juzi nimejiunga intrnet kwa airtelmoney..na msg kuwa muamala upo ipo msg..kma mna marekebisho muwe mnatujuza..au hamthamini wateja wenu...
@airtel_tanzania huduma ya airtelmoney kueka na kutoa pesa..nimesajili kwa no za nida na alama za vidole zote zinafanyika..lakini TIMIZA haikubali.shida nini?
@airtel_tanzania Habari zenu za asubuhi..naomba niwaulize..hivi kwa nn mtandao wenu unazidi kusumbua?juzi airtelmoney imesumbua..jana kujiunga kwa kutumia airtelmoney pia..muda huu mtandao ni mmmmmmmmmbovu..yaani huu mtandao umekuwa kama kichefuchefu cha mwenye mimba..haueleweki...basi tu...!!