Mwenyezi nijaalie nguvu na roho ya ujasiri,
ili nami niweze amini kesho bora ya utabiri,
Kesho iliyonawiri,kesho ya we na mimi,
Imeshafika usiku mnene na kesho haina dalili.
-Kesho Yetu.
If you’re interested in learning;
Product design
Graphic design
Web design
UX design
Webflow
Figma,
UI/UX
Here’s a complete pack of FREE resources for your learning.
https://t.co/CpwIb7BZuM
https://t.co/9kyNxU8OWv
https://t.co/9ZepGkyL5t
I hope this helps? Thank me later
ChatGPT ni moja ya AI popular inatumiwa sana na watu sikuizi.
ChatGPT plus unalipia 49,000 tzs kwa mwezi
Google wameachia Bard Ai. Ni bure.
Haya ndio mambo 10 ambayo Bard inaweza na ChatGPT haiwezi
UZI 🧵
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. @SuluhuSamia akimuapisha Ndg. Griffin Venance Mwakapeje kuwa Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Januari 09, 2023.