Hii tweet niliandika kama kuna manzi yeyote ishawahi kukataliwa - au kujihisi mbovu ije dm mimi sitakua tayari kumdisapoint.
Alikuja demu mmoja - ila alikua hajui kumbe account yake ipo connected na jamaa yake ๐๐.
Alinicheki nikajibu jamaa kanambia kausha - oya humu hatar๐
Ukiona mtu anakutumia meseji 'FUTA NAMBA YANGU KUANZIA LEO'.
Usijali huyo bado anakupenda ila sasa kutana na yule hakujibu hata moja na yupo online.
Aagh! Hapo hata ung'ate chuma kazi unayo.
Good morning Wakati mwingine Mungu huchelewesha jambo si kwa sababu amelisahau bali kwa sababu wakati wake bado haujafika Endelea kuamini endelea kufanya juhudi na usikate tamaa
๐งต THROWBACK THURSDAY: SIMBA SC vs NKANA FC ๐ดโช๏ธ
Mapema kabisa, Nkana wakachokoza moto wa Simba SC kwa kupata goli la uongozi. ๐ฉ
Aggregate ikawa inasoma: Simba SC 1โ3 Nkana FC. ๐ฅบ
Shukanayo. ๐๐พ