@SiasaMaisha2030 Na Moja ya tatizo lenu mkishidwa hoja mnakimbilia kuita watu "machawa" kiufupi Hamtaki hoja mnataka mpate manyumbu ya kuyachota Mimi binafsi huwezi kunizuia kutumia na uliowatag wakina heche na kina mnyika hamna Ataeunga Mkono maana Umeongea "UOZO"
@HildaNewton21 Mlisema hawatakufa lakini mkasema Tarehe 29 saa 6 mchana mtakuwa mmeknoa nchi Leo nyie ndo mnasema wamewaua...mliwahakikishia Nini? Au mmesahau mliwaambia kuwa "msijali jeshi lipo upande wa wananchi?...swali mlikujua kuwa watakufa au hamkujua?
@SiasaMaisha2030 Jamaa ni "CHIZI" sasa nisitumie hivo vitu vyote kisa Nini Halafu wakiona sijatumia watachukua hatua Gani? Yaani kisa wewe umesema basi nisipande abood..nisinywe Asas?๐..unakumbuka mlisema watu wagomee show za wasanii? Mliishia wapi kwamba wasiende kustream nyimbo zao?๐
@Jaguar_455 Watasema "Ona mamedia ya bongo ni machawa yanalipwa kuongea upumbavu" yaani wao wakikosa hoja ukiwauliza maswali magumu basi ni "Machawa wa CCM" Hawana point nyingine
@BoyBoy51125708@Sisimizi3 Aya wamesema nilipe zaidi ya uwezo wangu wewe unanisaidiaje nisilipe zaidi maana wewe unasema upo "sambamba" na Siasa kama huna la kufanya basi usishauri watu wafatilie Siasa..
@Nuruvazi01 Hakuna mbinu ya kuzuia Hilo suala watanzania sio wajinga tena wamejua kuwa Hasara IPO upande gani..mmebaki na wajinga wachache wanao wasapoti kwa uchache wao hawawezi kufanya lolote huo ndo ukweli ambao Hamtaki kusikia
@raphael_tz1@Kipanga1986@mangekimambi Hunielewi wewe ndo kilaza wa kwanza may be kama haupo Tanzania kama upo hapa Samia ni rais wako na wale wabunge wote na ukichaa walonao ila ndo viongozi wako uwe umewachagua au hujawachagua ndio maana wanaangalia mwenye kula nyingi hawaangalii alipendwa na wote..๐๐๐