@MamaWaTaifaSSH Utulivu ipi ?
Lukanza Magari ya Police na wanajeshi kutisha watu ?
Au hamuoni huu ujinga wenu ulivyoikosesha Serikali Mapato na vi posho vywenu 😂
Kwanza sitegemei uwe na uwezo mkubwa wa ku analyse tukio la leo. Wanaharakati na Gen Z wameshinda … Hii inaitwa Mega BOYCOTT.
Asante brother una akili kama mchwa! 👊🏽🔥
Ushindi wetu wapenda haki ni mkubwa sana na nchi haitatulia hadi HAKI IPATIKANE! Maandamano tutaanza mapema siku za kazi kila wakati - tuone kama wana uwezo kukimbizana na raia kila siku!
Shida ya mafedhuli ni kwamba sharti la #KatibaMpya na Tume Huru ni kwanza kumwachia Liasu na #SamiaMustGo
Maandamano ya wananchi yamefana sana. Gharama zilizotumika kwa ajili ya propaganda za kuyazuia, posho za askari wa vyombo vyote, mafuta ya magari yaliyotumila na biashara zote kusimama ni pigo kubwa kwa uchumi ni ujumbe kwa watawala wenye kiburi.
Hii ni style ya pekee.s
@FarahOm91196252@MariaSTsehai WAPUMBAVU wote hao, 77 huwa ni siku kubwa sana kitaifa, na pako tupu ! Yupo KATAMBI na wapuuzi wenzake.
Hii Gez na wanaharakati WAMESHINDA !
Yaani BOYCOTT ya kibabe