@mangekimambi Sasa kwa kutuona watanzania ni matutusa unakuja kutujaza eti wanajeshi wa chini wapo na sisi japo kuwa oda imetoka kwa wakubwa hakuna mtu kuandamana we dada embu tutolee upumbavu wako unasikia we shenzy!!๐ก๐ก
@mangekimambi Hivi wewe mange hivi unatuona watanzania kama matako Yako si ndio!!? Jeshi lolote Duniani linakwenda kwa oda sasa maafisa wa jeshi watoe amri ya kushuti alafu wanajeshi wa chini wakafanye wanavyojua wao huo ki jeshi unahesabika ni uhasi kukataa oda ni dhambi
@mangekimambi Yaani tumkatae mtu anaetuhamasisha tusitoke kwenda kuuwawa tukusikilize wewe unaetaka tutoke tukauwawe ili utupige picha maiti zetu uwaoneshe waajiri wako acc Yako inone mi fedha safari hii njooni tutoke pamoja nyie mtangulie
@millardayo Pole sana kwa family ya ndugu swez pamoja chadema poleni sana.....ila guest aliyolala marehemu na kazi yake ya kumuendesha makamu mwenyekiti wa chama naona kma haviendani kabisa ila poleni sana wafiwa
@zoetjesheeftX Hiki ndio chama kinachotaka tukipe dhamana ya kutuongoza WATANZANIA kufika nchi ya ahadi hiki c viongozi c wanachama wake wote wasela๐๐
@Tanescoyetu mnatukatia umeme huku mji mwema MWANZA hakuta taarifa yoyote ya nini kinaendelea meneja wa tanesco mkoa wa mwanza mnaajenda gani na jitihada za @SuluhuSamia kutuletea maendeleo watanzania?
@mwenyenchii Panda ndege njoo tuandamane wote tena usisahau watoto wako......sio unatuhamasisha sisi tutoke wakati wewe na familia Yako mpo sehemu salama acha ungese
@NaomiUliza Hakunaga serikali yoyote Duniani itakayokubali kupangiwa mambo yake na raia inayowaongoza......juzi hapa ilitokea marekani nadhani kilichowakuta hao raia mlikiona sasa na nyie hiyo 7-7 ingieni barabarani muone kitakachowata nguchiro nyie
@mangekimambi Watanzania tusikubali kwani wewe ni mtanzania? Sikiliza we mshenzy kama mlifanikio 29oct safari hii hamumpati mtu nyie mpo nje ya nchi sisi huku tunakufa....yaani mnatengeneza fedha kwa kufanya damu ya watanzania imwagike!! Hii ni zaid ya laana
@Royaltv_plus@ChademaTZ2@HecheJohn Sasa ndio nimeamini hiki chama ni chama cha watu wa hovyo mno ambacho hakijawahi kujali usalama wa raia na Mali zao.......mh katambi anasimamisha kwa muda mikutano ya hadhara ili waweze kuwatambua watu wabaya nyie mnakuja na milio ya kijinga
@godbless_lema Wakati huo wewe na familia yako mpo Canada huko sisi huku unatushika masikio tukatae maagizo ya mamlaka na mh katambi amesema mikutano ya vyama vyote ikiwemo CCM ambacho ndio chama chake isimame nyie milio ya nini?? Au ndio waharifu wenyewe nyie