@mangekimambi Nimechelewa kukujibu lakini @mangekimambi ni hivi;
1.Chadema wakitangaza kuyaunga maandamano moja kwa moja viongozi wote waliopo watatiwa ndani,na wakishatiwa ndani chama kitaonekana hakina uongozi na kitavamiwa na akina MBOWE na watu wake @YerickoNyerereT wataingia maridhiano.
@GiftMan4@Sativa255 Acha kumtia uoga,vijana ni vzr tukawa majasiri,kama kupotezwa tupotezwe wote,tuache uoga na tuishi kwa kujiamini,kwani unadhaji waliokufa october29 wao ni wabaya na sisi ni wazuri?tuache uoga
@IAMartin_ Ambacho hamjua ni kwamba,ccm wamekuwa na wakati mgumu sana toka october29 kwa mauaji waliyofanya,binafsi natabiri kwamba asemacho huyu atakuwa hamanishi,itakuwa wamepanga kikao cha juzi watofautiane ili kujaribu kuwarudisha wananchi kama zamani,kwa hiyo kwa sasa inafaa tumpuuze.
@ChademaTZ2 Huo ndio mchezo mpya wa polisi,yani wakishakuachia kwa dhamana maana lazima usaini kwa kuacha fingerprint,sasa ukisharudi kwamba sijui kuripoti wanakupoteza ili badae ushahidi uonekane kwamba ulishapewa dhamana,kwa hiyo nawashauri mambo sijui ya kurudi kuripoti ni udwanzi
@MariaSTsehai Siku inakuja wao wenyewe watatamani kuachia madaraka kwa hiari lkn haitawezekana watakuwa wamekwisha chelewa,baadhi yao watakimbilia nchi zingine na watafia huko ugenini na wengine watakao baki watadhalilika sana,MUNGU anajibu kwa wakati wake,hapangiwi.
@MariaSTsehai Mtume paulo akiwa gerezani aliandika nyaraka kwa wafilipi,wakolosai n.k,kosa lililomuweka gerezani ilikuwa ni kueneza injili,na aliendeleza injili akiwa gerezani,lkn akiwa huko aliweza kuandika nyaraka na waliozitoa ni askari kwa kuwa nao waliamini katika kristo,Lisu ni paulo.
@ExMayorUbungo@TunduALissu Mtume paulo aliandika nyaraka zake kwa wafilipi na wengineo akiwa gerezani,na kosa lililomuweka gerezani ilikuwa ni kueneza injili ya kristo,lakini kwa kuwa aliendelea hata alipokuwa gerezani,askari hao hao ndio waliomsaidia kutoa nyaraka na kupeleka kwa walengwa,lisu ni paulo.
@MwanzoTvPlus@MariaSTsehai Saa nne majira gani?harafu polisi wanavamiaje kwa mtu na kutisha watu ili hali wangeweza kumuita na angeitikia wito bila kuleta taharuki?serikali ya ccm ni mauaji na vibaka wakubwa
@mangekimambi Na iwe hivyo kwa kweli,naambiwa Muuaji eti anajifichaficha na ameomba aonekane kwenye msiba wa mzee Mtei ili ajikoshe,ila huyu mama yenu ameua vijana wengi wasio na hatia,yani mpaka polisi walikuwa wanachanganya mahututi na waliokufa ili walio mahututi wafe kabisa,roho mbaya sana
@Jambotv_ Huyu dereva wa subaru anaonewa,ni kama salum na moza walikuwa wanafanya mapenzi barabarani sasa wakamsababishia huyo wa subaru ajari,ila kwa kuwa ni mnyonge ataonewa