"Kwanini Doumbia? Ni sababu ya safari ndefu ambayo ameipitia, ni mchezaji ambaye amepitia maneno mabaya, amepitia mambo mengi lakini wapo Wanasimba ambao hawakumkatia tamaa. Kwa kazi kubwa ambayo alifanya jana na kufunga magoli mawili tumeamua kumchagua kuwa mgeni rasmi. Atafanyaje mgeni rasmi baada ya timu kuingia uwanjani?, yeye atakuwa wa mwisho kuingia uwanjani, akiingia tutasimama na kumpigia makofi."- Semaji Ahmed Ally. #NguvuMoja