@MwansasuSnr Bro that hit in same cluster na Usiende mbali nami; nataka niwe wako; haturudi nyuma kamwe & the likes. Producers did a once and for all (generations) masterpieces.
Uwanja mpya wa Moulay Abdellah,Rabat Jana umezinduliwa,Ni moja ya viwanja vitakavyohost Afcon Ijayo na Fifa World Cup 2030. Una uwezo wa kubeba watu 68,500 pamoja na maeneo 110 ya watu binafsi na maeneo ya kupumzika matano
#DestinationMorocco2025@QuickMgt#Destination2Morocco
Leo tulicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga SC🔰,
Mpira mkubwa sana umepigwa na wachezaji wetu ilibaki kidogo wasuse kumalizia mechi💪
#WajengaNchi#KichapoChaKizalendo
#TajiriLakihaya
Dem hata kama ni mrembo kiasi gani…
Meno yakishakua yameoza au yenye Rangi au yasio Meupe…
Hata kwa dawa siwezi tongozA…
Huwa inanikata stimu saana💔
Alafu sikuhizi wamekua wajanja- wakishajua meno yao hayafai- wakiongea hawakenui kabisaa… wanayaficha meno yao kwa wivu mkubwa!