Familia mmeamkaje.. naelewa kiu ya Mitaji tuliyonayo, msg ni nyingi Sana now itabidi kupeana kidogo kidogo itugoshe wote.
Please note, ninaweza kufanya miamala kupitia namba za Vodacom Tu.
Kama Una mtandao mwingine utanisamehe Mkuu maana changamoto ya threshold ya kutuma ni kub
@Jeremia64839162@Bendone_23 Jamaa Muongo, sii tumeishia kwenye kupandisha Tofali tu Bado kupaua nyumbani ya room nne na sebule ishachomoka 6m+ yee anasema nini bana, gharama yabati hapo haipungui 2.4M