Maneno ya Binadamu Huwa hayana Nguvu mbele ya MUNGU.
Hata Unenewe laana haki Mungu Usizingatie Wala kuibeba Moyoni Mwako Bali Ikufanye Uwe na Nguvu ya Kupambana ili Siku Moja aliyekunenea Mabaya Aje aone Mafanikio Yako siku Moja.
MUNGU AKUBARIKI SANA ๐๐
Ishu ni kwamba Kuipata silaha ya IMANI rahisi na vile vile ni ngumu sana,Na Ukijakufanikiwa kuipata Hakika itakulinda Daima Milele .....MUNGU AWABARIKI SIKU ZOTE ๐๐
@IAMartin_ Kaka mie nimesikiliza mahojiano yote mwanzo na mwisho kaongea vitu ambavyo vinatakiwa kuzungumzwa kwenye Media kama clouds na sio kutumia Media kuongea lugha ngumu.