Kinachoendelea kwa Sasa ni Yanga kushuka na Simba kupanda maana Simba imetoka huko kuwa mbovu na Yanga ilikuwa mzima Sasa inapotea taratibu Simba ndo hiyo inapanda taratibu ndo uhalisia kesho watajitahidi Ili wafunge mabao mengi ila ndo hivyo tena na ukweli huo.
Klabu ya Mashujaa FC imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na mshambuliaji wake, Ismail Mgunda, na kumruhusu kujiunga na klabu ya AS Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo).
Klabu ya Mashujaa FC imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na mshambuliaji wake, Ismail Mgunda, na kumruhusu kujiunga na klabu ya AS Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo).