When Do We Lose Focus and Our Ability to Think Clearly?
When we allow negativity and personal interests to influence team matters, we become defensive or reactive instead of thinking objectively and focusing on facts.
UCHAGUZI WA MAREKANI
Kwa sisi Afrika ni nani atatufaa
Trump ambae ataweka nguv uwekezaj US na kupunguza misaada na uwekezaji Afrika ili tujipambanie?
Kamala ili uwekezaji na misaada katika nchi za Afrika uendelee lakini tukiingiliwa kwenye maamuzi na maswala ya kitamaduni?
Tuweni makini na mambo wanayosema watu wenye majina, wasanii au wenye pesa mitandaoni au kipindi wanafanyiwa interview hasa yale yanayohusu maadili au mfumo wa maisha
Kwa sababu pesa au kua na jina( umaarufu ) Ni Kama mvua inanyesha popote pale ata kwenye vinyesi
Baada ya mahafali ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu. Tulikutana GR city hotel iliopo jijini Mbeya Mimi na baadhi ya jamaa zangu Kwa lengo la kuagana na kutakiana kila raheri katika safari tunayoianza mpya ya maisha
Sipendi mambo ya ovyo yafanyike kwenye jamii yangu
Ivo kama ukiunga mambo ya ovyo Kwa sababu yeyote Ile unakosa sifa za kua mtu wangu wa karibu, Kwa sababu Kuna siku utapata sababu ya kusapoti ujinga nitakao ufanya badala ya kunisahihisha.
Ivo kuchukia kwangu hakutakua na maana.
Sipendi mambo ya ovyo yafanyike kwenye jamii yangu
Ivo kama ukiunga mambo ya ovyo Kwa sababu yeyote Ile unakosa sifa za kua mtu wangu wa karibu, Kwa sababu Kuna siku utapata sababu ya kusapoto ujinga nitakao ufanya badala ya kunisahihisha.
Ivo kuchukia kwangu hakutakua na maana.
@Andub18Andub@YerickoNyerereT We unataka kusemaje sasa kwamba kakosea kusema?
Mawazo yako ni yapi sasa? huenda yakatusaidia,
Au ulitaka aendelee kukaa kimya hadi lini
Na Kama umefatilia hilo swala kalifanyia utafiti, kwahyo alihitaji muda wa kupata ushaidi Kama alivofanya
@AKyakumwanya@SuphianJuma@SuluhuSamia@KamalaHarris Halafu pia elewa maana ya kufanya research inakubidi uje na ushahidi kwa sasa ndo kapata ushaidi ndo kaka hadhalani
Kama umefatilia vizuri hyo semina utaona walivoelezea jinsi walivokua wanafatilia ilihitaji muda kupata ushaidi kamili
@AKyakumwanya@SuphianJuma@SuluhuSamia@KamalaHarris Kipind akiwa Wizara ya katiba na sheria kwa kushirikiana na Makonda kuna baadhi ya mashirika waliyafungia kufanya shughuli zao hapa mchini, japo hili halikufanyika hadhalani kwa sababu swala halikua bado limelipuka kwa kias hiki
@AKyakumwanya@SuphianJuma@SuluhuSamia@KamalaHarris Kwan Uganda baada ya Bunge kupitisha mswada kuhusu watu wanaljihusisha na maswala ya ushoga watafungwa miaka 10, Marekani wameiambiaje Uganda endapo Rais Mseveni atasign huo mswada.
Je marekani inatuhumiwa au ni kwel inafanya ivo?
@AKyakumwanya@SuphianJuma@SuluhuSamia@KamalaHarris Hivi kweli we umenielewa?
We umesema kwanin aongee kipindi tunasubiri mgeni kutoka marekani, Ndo nikakujibu
Rudia kusoma point zako ulizo tweet halafu rudia na kusoma majibu yangu taratibj utaelewa
@Amirymustafa1@ChiliomaV@SuphianJuma@SuluhuSamia@KamalaHarris @mwakiyembe Kashakua miongoni mwa wanasiasa wenye heshima zao ndo maana ni Mwenyekiti wa bodi ya chuo
Ukifatilia vizur wanasiasa wakubwa ambao umri umeenda kidogo na waliku na mchango mkubwa kweny nchi ndio wanapewa nafasi za heshima kweny taasisi za kiserikali
@Amirymustafa1@ChiliomaV@SuphianJuma@SuluhuSamia@KamalaHarris @mwakiyembe Hebu shukuru angalau kapatikana MTU wa kusema na kuonyesha kupinga haya mambo hadharani huoni Kama tumekosa kabisa public figure wa kukemea Kama yy alivofanya
Sasa mwakyembe saiv ni Mwenyekiti wa bodi wa chuo cha muhimbili
Mwenyekiti wa bodi wa chuo ni nafas ambayo Rais anateuwa