Ushauri 10 wa kuzingatia kama ningerudi miaka 10 nyuma ๐ง
1. Shuleni unatakiwa uwe bora zaidi kwenye mambo ambayo hayapewi kipaumbele kufundishwa darasani.
2. Chuo ndo sehemu pekee ya kujenga network na kutafuta watu wa kukuingiza kwenye system an ecosystems.
3. Copywriting ndio ujuzi wa thamani zaidi, ambao hakuna mwanadamu yeyote anayefanya kazi yoyote ile hatauhitaji.
4. Utajiri na maisha yapo kwenye internet. Kwenye kila hatua ya makuzi. Fursa za mtandaoni ndio za kuzingatia zaidi. Hakuna ambae ana unfair advantage.
5. Kile ambacho jamii inakwambia ni sahihi. Kikiwa sahihi kweli basi hakina maana sana. Kile unachoaminishwa sio sahihi mara nyingi ndio sahihi na vina maana zaidi.
6. Kwenye maisha ni aidha uchague kuishi maisha, malengo na kusudi lako au ujitoe ufahamu jamii ikupangie nini cha kufanya.
7. Porn, Netflix, soda, energy, madawa, GMO n.k wanapiga pesa mbaya sana na jamii inanunua tena kila siku. Usiogope kuuza kitu unachokileta mbele za watu kusaidia kuimprove maisha.
8. Masomo ya kuzingatia zaidi maishani ni saikolojia ya mwanadamu, falsafa, mindset na sayansi ya kuzalisha pesa.
9. Mindset sahihi kwenye maisha ni priority. Detoxify Mind yako uwe sober na kuishi maisha yako.
10. Tunza energy yako, muda wako na pesa zako. Acha jamii iseme, wewe kaa kimya, jenga na unda bidhaa zako, ongeza thamani na tengeneza empire na legacy.
#TutoboewoteFest
...UKIKOSA UMEPENDA...
Yaani mmefikia hatua ya kufunga account za Waganga sababu wametabiri mtakufa ? Kwani nani anaishi milele !?
Mnaogopa mpaka utabiri wa waganga? mbona wakiwapeni uchifu mnachukua sasa
BONIFACE MWABUKUSI USIOGOPE!
Boniface Anyisile Kanjunjumele Mwabukusi, kitu pekee ambacho MMM naamini, serikali dhalimu ya CCM inaweza kukupora uwakili wako tu lakini hawaondoki na akili zako. Akili ni zako siyo zao.
Pole kwa kilichotokea leo. Mawakili wako 9 wanejiondoa katika shauri lako kwa kutoridhishwa na mwenendo wa Jaji Ntemi. Pia naelezwa umemtaka Jaji Ntemi ajiondoe katika uendeshaji shauri lako.
Jaji Ntemi amegomea ombi lako, hivyo kesho ataendelea na hatua nyingine kesho. Jaji Ntemi kwa hasira anamsimamisha wakili Mpale Mpoki kwa miezi sita. Wakili Mpale Mpoki amekuwa wakili tangu 1985
Kosa la wakili Mpale Mpoki ni kumtetea mteja wake ambaye alimpa maelekezo kwamba akate rufaa dhidi ya amri ya Jaji ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Maadili.
Hivyo, Jaji Ntemi ataendelea kusikiliza kesi na hata kutoa uamuzi katika shauri ambalo mtuhumiwa, Boniface Mwabukusi amepoteza imani na Jaji Ntemi. Hii ni ishara mbaya ya mfumo wa utoaji haki.
Jaji Ntemi anatuhumiwa na Mwabukusi kwamba ni wakala wa mwanasheria Mkuu wa serikali, na kwamba ana mgongano wa maslahi katika shauri dhidi ya Mwabukusi.
WAKILI Mwabukusi, hukuzaliwa kuwa wakili wa mahakama kuu tu. CCM wanaweza kuchukua uwakili wao, na ukabaki na heshima yako kwa jamii. Usiwaogope kabisa CCM. Ni wahuni.
CCM sasa ni genge la wahuni. Maharamia wenye mamlaka makubwa. Serikali ipo katika mikono ya wahuni. Wababaishaji. Waoga. Wasiopenda kusikia sauti za kuwakosoa na kuwapinga.
CCM wanaweza kuchukua leseni ya uwakili wako kikatili kabisa lakini hawana uwezo wa kuchukua ubongo wako unaofanya kazi, hata wakiondoa uhai wako, ubongo wako hawawezi kuutumia tena.
Mimi natofautiana mara kadhaa na mitazamo yako wakili Mwabukusi dhidi ya chama ambacho ni mwanachama wake, CHADEMA, lakini hili haiondoi wajibu wa kusimama na wewe katika vita dhidi yako.
Naweza nisipende aina ya hoja zake au nisikubaliane naye lakini nawajibika kupigania haki zake nyingine zikiwa zinaporwa na mamlaka katili ya CCM, ikiwepo haki yake ya kutoa maoni. Uhuru wa maoni.
Wajibu wa mwanachama wa CHADEMA kama ulivyo mtanzania mwingine asiyekuwa mwanachama wa chama cha siasa ni kutetea haki za msingi na haki za kiraia bila kujali itikadi au rangi yake.
Tofauti yetu ya mitazamo katika masuala kadhaa ya kisiasa siyo hoja ya msingi hapa, tunaweza kuijadili wakati mwingine. Leo tunataka kuwaeleza watawala kwamba, hawana uwezo wa kuwafanya watanzania wenye akili kuwa mazezeta wakati wote.
Tunakataa kile Seith Chachage alichokiita โCollective Imbecilizationโ. kuwapumbaza watu mamilioni kwa mpigo. Ni kama vile ingewezekana kuwakusanya watu milioni 50, ukawaweka ndani ya holi moja kubwa la ukubwa huo.
ukafunga madirisha na milango, kisha ukawanyunyizia dawa ya uzuzu, ubwege na ufala. ikawakolea kabla hujawaachia waende duniani waendelee na shughuli zao. Hiyo ndiyo Chachage aliita โcollective imbecilizationโ.
CCM wanapenda kuona taifa letu lote linaishi kama mazombi, yanayofuata harufu ya damu tu. Mazombi hayawezi kufikiri tena, yanaongozwa na hisia za harufu ya damu. CCM wanataka tuishi humo.
CCM wanachukia watu wenye ubongo unaofanya kazi. CCM hawataki kutumia watu wenye ubongo timamu. Watu wenye akili ni hatari kwa CCM kwa sababu wanaweza kuhoji na kupinga ujinga wa serikali.
USIOGOPE! USIOGOPE! USIOGOPE! Neno USIOGOPE limetajwa mara 365 katika biblia TAKATIFU. Kwa maana hiyo MUNGU anatukumbusha kila siku kuwa tusiogope.
MMM, Martin Maranja Masese.
Leo asubuhi tumecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Dar City FC na kuibuka na ushindi wa mabao 4-0.
Taarifa zaidi kuhusu mchezo huu ingia kwenye Simba App. #WenyeNchi#NguvuMoja
Bado hamjasema..
Na mtasema
Yaaaani mpaka msemeee..๐
Kuna wanaochukua zaidi ya vipande vyao vya keki..?
Piga 0769 112 116 uletewe kitabu cha #Vipande26vyaKeki popote ulipo Tanzania kwa 25,000
@festosangatz Unajisikia furaha na amani Moyoni kukutana na wananchi wakiwa pekupeku ktk mazingira Kama hayo.aise wanasiasa wa chama hiki mna rohi ngumu kuliko jiwe.
KUWENI MAKINI NA MCHANGA WA KABURINI:
#X-Ushirikina
Kuna watu wamepata nuksi, mikosi na mabalaa makubwa katika maisha yao kwa sababu ya matumizi ya mchanga wa makaburini bila kuzingatia au kufuata maelekezo.
๐จ Miezi iliyopita niliwapa taarifa kuwa kwa sasa Whatsapp wameruhusu kutumia account zaidi ya moja kwenye Whatsapp.
Watu walikuwa wananiuliza
Unawezaje?
Leo nitakufundisha namna ya Ku-add, number nyingine ya Whatsapp kwenye simu yako Easy sana!!